Wanachuo wakijifunza namna ya kuandaa zana za kufundishia zinazotengenezwa chuoni Montessori

ZIARA YA MAFUNZO: Wakufunzi na wanachuo wa chuo cha ualimu Murutunguru wakiendelea na mafunzo ya zana za ufundishaji katika ziara ya mafunzo ambayo chuo hicho kimefanya katika chuo cha Montessori Kawekamo Mwanza.

Wakufunzi na wanachuo wapo Montessori kujifunza mambo mbalimbali yanayofanyika chuoni Montessori.